Kitobian
Kitobian ni lugha ya Kiaustronesia nchini Palau inayozungumzwa na Watobi kwenye kisiwa cha Tobi. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kitobian imehesabiwa kuwa watu 22 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitobian iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitobian kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitobian
- lugha ya Kitobian katika Glottolog
- lugha ya Kitobian kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitobian kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |