Kitoda ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Watoda. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitoda imehesabiwa kuwa watu 1560. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitoda iko katika kundi la Kidravidi ya Kusini.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitoda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.