Kitomadino ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watomadino kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kitomadino imehesabiwa kuwa watu 600 tu. Lugha ya Kitomadino imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitomadino iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitomadino kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.