Kitombelala (pia Kibaria) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watombelala kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kitombelala imehesabiwa kuwa watu 1100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitombelala iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitombelala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.