Kitondano ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watondano kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kitondano imehesabiwa kuwa watu 92,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitondano iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitondano kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.