Kitontemboan
Kitontemboan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watontemboan kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kitontemboan imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitontemboan iko katika kundi la Kifilipino.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitontemboan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitontemboan Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kitontemboan katika Glottolog
- lugha ya Kitontemboan kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitontemboan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |