Kitopoiyo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watopoiyo kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitopoiyo imehesabiwa kuwa watu 450 tu. Lugha ya Kitopoiyo imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitopoiyo iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitopoiyo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.