Kitorwali
Kitorwali (au Kiturvali) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Watorwali. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitorwali imehesabiwa kuwa watu 80,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitorwali kiko katika kundi la Kidardiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitorwali kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitorwali Archived 17 Aprili 2019 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kitorwali katika Glottolog
- lugha ya Kitorwali kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitorwali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |