Kitoura (Cote d'Ivoire)

Kitoura ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Watoura. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kitoura imehesabiwa kuwa watu 38,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitoura iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitoura (Cote d'Ivoire) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.