Kitring ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Watring. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitring imehesabiwa kuwa watu 550 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitring iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitring kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.