Kitsaangi ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Watsaangi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitsaangi nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 13,600 na nchini Gabon 8610. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitsaangi iko katika kundi la B50.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitsaangi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.