Kituki
Kituki ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Watuki. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kituki imehesabiwa kuwa watu 26,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kituki iko katika kundi la A60.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kituki kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kituki
- lugha ya Kituki katika Glottolog
- Tovuti ya Ethnologue kuhusu Kituki
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kituki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |