Kitunjung ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watunjung kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kitunjung imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitunjung iko katika kundi la Kibarito.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitunjung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.