Kiturung ilikuwa lugha ya Kitai-Kadai nchini Uhindi iliyozungumzwa na Waturung. Siku hizi Waturung wote huzungumza lugha ya Kisingpho, yaani lugha yao ya asili ya Kiturung imetoweka kabisa, ila maneno machache katika utumiaji wao wa Kisingpho. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiturung iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiturung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.