Kityaraity

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kityaraity kilikuwa lugha ya Kidaly nchini Australia iliyozungumzwa na Watyaraity katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kityaraity, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kityaraity kiko katika kundi la Kimalagmalag.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kityaraity kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.