Kiujir ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waujir kwenye visiwa vya Ujir na Wokam. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiujir imehesabiwa kuwa watu 1030. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiujir iko katika kundi la Kiaru.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiujir kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.