Kiulch
Kiulch ni lugha ya Kitungusi nchini Urusi inayozungumzwa na Waulch. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiulch imehesabiwa kuwa watu 150 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiulch iko katika kundi la Kitungusi ya Kusini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiulch kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiulch Archived 22 Februari 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiulch katika Glottolog
- lugha ya Kiulch kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiulch kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |