Kiullatan ilikuwa lugha ya Kidravidi nchini Uhindi iliyozungumzwa na Waullatan. Mwaka wa 2001 idadi ya Waullatan imehesabiwa kuwa watu 16,700, lakini hakuna walioendelea kutumia lugha ya Kiullatan; badala yake, Waullatan huzungumza Kimalayalam siku hizi, yaani Kiullatan imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiullatan iko katika kundi la Kimalayalam.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiullatan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.