Kiulumanda' ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waulumanda' kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kiulumanda' imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiulumanda' iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiulumanda' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.