Kiuma'-Lung ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wauma' kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiuma'-Lung imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiuma'-Lung iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiuma'-Lung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.