Kiuna (pia Kigoliath) ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wauna. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiuna imehesabiwa kuwa watu 5600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiuna iko katika kundi la Kimek.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiuna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.