Kiunggaranggu kilikuwa lugha ya Kiworrorran nchini Australia iliyozungumzwa na Waunggaranggu katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiunggaranggu ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiunggaranggu kiko katika kundi la Kiworrorran cha Magharibi.

Eneo la lugha za Kiworrorran barani mwa Australia, rangi ya kizambarau

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiunggaranggu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.