Kiungo (tarakilishi)
Katika utarakilishi, kiungo (kwa Kiingereza: hyperlink) ni marejeo ya data ambayo mtumiaji anaweza kubonyeza ili data zionekane.

Kiungo cha Wikipedia.
MarejeoEdit
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).