Kiurali ilikuwa lugha ya Kidravidi nchini Uhindi iliyozungumzwa na Waurali. Mwaka wa 2001 idadi ya Waurali imehesabiwa kuwa watu 6440, lakini hakuna walioendelea kutumia lugha ya Kiurali; badala yake, Waurali huzungumza Kimalayalam siku hizi, yaani Kiurali imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiurali iko katika kundi la Kikannada.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiurali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.