Kivemgo-Mabas ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Wavemgo-Mabas. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kivemgo-Mabas nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 10,000; pia kuna wasemaji 5000 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivemgo-Mabas iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivemgo-Mabas kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.