Kivoro ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wavoro. Isichanganywe na lugha ya Kivõro nchini Estonia. Idadi ya wasemaji wa Kivoro haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivoro iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivoro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.