Kiwabo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawabo kwenye kisiwa cha Serui. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiwabo imehesabiwa kuwa watu 1500. Kwa vile Wawabo wengi wameanza kuacha llugha yao na kutumia lugha nyingine, Kiwabo iko hatarini mwa kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwabo iko katika kundi la Kiyapen.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwabo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.