Kiwamey
Kiwamey ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal na Guinea inayozungumzwa na Wawamey. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiwamey nchini Senegal imehesabiwa kuwa watu 18,400. Pia kuna wasemaji 5270 nchini Guinea. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwamey iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiwamey kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwamey
- lugha ya Kiwamey katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/cou
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwamey kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |