Kiwaneci ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wawaneci. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiwaneci imehesabiwa kuwa watu 108,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiwaneci kiko katika kundi la Kipashto.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwaneci kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.