Kiwango cha hatari

Ni uwiano wa kitu kuwepo hatarini na kiwango cha uwezekano wa athari mbaya. Kama kiwango cha hatari ni kidogo kuliko moja, basi hakuna athari za kiafya kama inavyotarajiwa na matokeo hayo. Kama kiwango cha hatari ni kikubwa kuliko moja, basi adhari ya kiafya inawezekana kuwepo. Ni muhimu kutambua kwamba kiwango cha hatari kikizidi moja haimaanishi kutakuwa na athari mbaya.[1]

Marejeo

hariri
  1. OAR US EPA (2015-05-04). "National Air Toxics Assessment". www.epa.gov (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-07.