Kiwanukaka ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawanukaka kwenye kisiwa cha Sumba. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiwanukaka imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwanukaka iko katika kundi la Kisumba-Hawu.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwanukaka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.