Kiwaris ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya na Indonesia inayozungumzwa na Wawaris. Idadi ya wasemaji wa Kiwaris nchini Papua Guinea Mpya imehesabiwa kuwa watu 2500. Pia kuna wasemaji 1500 nchini Indonesia. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiwaris iko katika kundi lake lenyewe la Kiwaris.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwaris kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.