Kiwaritai ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawaritai. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiwaritai imehesabiwa kuwa watu 150. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiwaritai iko katika kundi la “Lakes Plain”.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwaritai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.