Kiwaru ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawaru kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiwaru imehesabiwa kuwa watu 350 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwaru iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwaru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.