Kiwe-Kusini
Kiwè-Kusini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wawè. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiwè-Kusini imehesabiwa kuwa watu 293,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwè-Kusini iko katika kundi la Kikru.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiwe-Kusini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwe-Kusini
- lugha ya Kiwe-Kusini katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/gxx
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwe-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |