Kiwe-Magharibi
Kiwè-Magharibi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wawè. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kiwè-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 25,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwè-Magharibi iko katika kundi la Kikru.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiwe-Magharibi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwe-Magharibi
- lugha ya Kiwe-Magharibi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/wec
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwe-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |