Kiweh
Kiweh ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waweh. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiweh imehesabiwa kuwa watu 6900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiweh iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiweh kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiweh
- lugha ya Kiweh katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/weh
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiweh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |