Kiwejewa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawejewa kwenye kisiwa cha Sumba. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiwejewa imehesabiwa kuwa watu 55,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwejewa iko katika kundi la Kisumba-Hawu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwejewa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.