Kiwemba-Wemba
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kiwemba-Wemba kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawemba-Wemba katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwemba-Wemba, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwemba-Wemba kiko katika kundi la Kulin.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiwemba-Wemba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwemba-Wemba
- lugha ya Kiwemba-Wemba katika Glottolog
- lugha ya Kiwemba-Wemba katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwemba-Wemba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |