Kiwergaia

lugha ya asili ya Australia

Kiwergaia ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawergaia katika jimbo la Victoria. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kiwergaia watano tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwergaia kiko katika kundi la Kulin.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwergaia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.