Kiwersing ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawersing. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kiwersing imehesabiwa kuwa watu 3700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwersing iko katika kundi la Kitimor-Pantar-Alor.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwersing kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.