Kiworia ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waworia. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiworia imehesabiwa kuwa watu watano, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiworia iko katika kundi la “East Geelvink Bay”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiworia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.