Kiworodougou ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Waworodougou. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiworodougou imehesabiwa kuwa watu 80,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiworodougou iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiworodougou kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.