Kiworrorra (pia Kiworora) ni lugha ya Kiworrorran nchini Australia inayozungumzwa na Waworrorra katika jimbo la Australia ya Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiworrorra ishirini tu, na lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiworrorra kiko katika kundi la Kiworrorran cha Magharibi.

Eneo la lugha za Kiworrorran barani mwa Australia, rangi ya kizambarau

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiworrorra kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.