Kiwunambal ni lugha ya Kiworrorran nchini Australia inayozwubumzwa na Wawunambal katika jimbo la Australia ya Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiwunambal 30 tu, na lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwunambal kiko katika kundi la Kiwunambal ambalo limepata jina lake kutoka lugha hiyo.

Eneo la lugha za Kiworrorran barani mwa Australia, rangi ya kizambarau

Viwubo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwunambal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.