Kiwuzlam ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wawuzlam. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kiwuzlam imehesabiwa kuwa watu 10,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwuzlam iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwuzlam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.