Kixasonga
(Elekezwa kutoka Kixaasongaxango)
Kixasonga ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali, Senegal na Gambia inayozungumzwa na Wakasonke. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kixasonga nchini Mali imehesabiwa kuwa watu 120,000. Pia kuna wasemaji 9000 nchini Senegal na wengine nchini Gambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kixasonga iko katika kundi la Kimande.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kixasonga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kixasonga
- lugha ya Kixasonga katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kao
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kixasonga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |