Kiyahadian ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wayahadian. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiyahadian imehesabiwa kuwa watu 500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyahadian iko katika kundi la “South Bird's Head”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyahadian kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.