Kiyaka (Afrika ya Kati)
Kiyaka ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wayaka. Isichanganywe na lugha ya Kiyaka nchini Jamhuri ya Kongo wala na lugha ya Kiyaka nchini Angola. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kiyaka nchini Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 15,000. Pia kuna wasemaji 15,000 tena nchini Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiyaka iko katika kundi la C10.
Viungo vya nje
hariri- makala za OLAC kuhusu Kiyaka Archived 10 Januari 2015 at the Wayback Machine.
- Kiyaka katika tovuti ya Multitree
- lugha ya Kiyaka katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/axk
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyaka (Afrika ya Kati) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |