Kiyakkha ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wayakkha. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiyakkha nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 19,600. Piakuna wasemaji 810 nchini Uhindi (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiyakkha iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyakkha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.